Ufafanuzi wa jumlisho katika Kiswahili

jumlisho

nomino

  • 1

    jumla inayopatikana baada ya kuhesabu au kuweka vitu mbalimbali pamoja.

Matamshi

jumlisho

/ʄumli∫ɔ/