Ufafanuzi wa jumuisha katika Kiswahili

jumuisha

kitenzi elekezi

  • 1

    weka pamoja hoja au ushahidi ili kufanya mahitimisho.

  • 2

    husisha watu mbalimbali katika jambo.

Matamshi

jumuisha

/ʄumuI∫a/