Ufafanuzi wa junju katika Kiswahili

junju

nomino

  • 1

    mtindo wa kuweka nywele zinazochomoza mbele ya paji la uso.

    shore, chokiro

Matamshi

junju

/ʄunʄu/