Ufafanuzi wa juto katika Kiswahili

juto

nomino

  • 1

    sikitiko au huzuni iletwayo kwa kufanya jambo baya au kwa kukosa kufanya jambo.

Matamshi

juto

/ʄutɔ/