Ufafanuzi msingi wa juu katika Kiswahili

: juu1juu2juu3

juu1

kihusishi

 • 1

  kinyume cha chini.

  ‘Kitabu kiko juu ya meza’
  methali ‘Aliye juu mngoje chini’

Ufafanuzi msingi wa juu katika Kiswahili

: juu1juu2juu3

juu2

kielezi

 • 1

  ‘Huna amri juu yangu’

Ufafanuzi msingi wa juu katika Kiswahili

: juu1juu2juu3

juu3

kivumishi

 • 1

Matamshi

juu

/ʄu:/