Ufafanuzi wa Kaaba katika Kiswahili

Kaaba

nominoPlural Kaaba

Kidini
  • 1

    Kidini
    jumba takatifu lililopo Makka ambalo Waislamu hulielekea wanaposali na hulizunguka wakati wa kufanya ibada ya Hija.

Asili

Kar

Matamshi

Kaaba

/ka:ba/