Ufafanuzi msingi wa kaanga katika Kiswahili

: kaanga1kaanga2

kaanga1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    pika chakula kwa mafuta kama samli.

    ‘Kaanga karanga’
    ‘Kaanga nyama’

Matamshi

kaanga

/ka:nga/

Ufafanuzi msingi wa kaanga katika Kiswahili

: kaanga1kaanga2

kaanga2

nominoPlural makaanga

  • 1

    kitu kinachofunika ua la mnazi.

Matamshi

kaanga

/ka:nga/