Ufafanuzi msingi wa kaba katika Kiswahili

: kaba1kaba2kaba3

kaba1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  bana kwa nguvu, agh. koo au kifua, kwa mikono.

  kamata, binya

 • 2

  shikilia mtu atende jambo fulani mpaka likamilike.

  ‘Alimkaba mpaka akalipa madeni yote’

Asili

Kar

Matamshi

kaba

/kaba/

Ufafanuzi msingi wa kaba katika Kiswahili

: kaba1kaba2kaba3

kaba2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

Asili

Kar

Matamshi

kaba

/kaba/

Ufafanuzi msingi wa kaba katika Kiswahili

: kaba1kaba2kaba3

kaba3

nominoPlural kaba

 • 1

  kitambaa kilichoshonewa ndani ya shingo na mabega ya kanzu ili kanzu isichanike upesi.

Matamshi

kaba

/kaba/