Ufafanuzi wa kabaila katika Kiswahili

kabaila

nominoPlural makabaila

  • 1

    mtu anayetokana na ukoo maarufu.

  • 2

    tajiri aliye na majumba na ardhi za kupangisha kwa faida yake binafsi au za watu wachache.

Asili

Kar

Matamshi

kabaila

/kabaIla/