Ufafanuzi wa kabidhi wasii katika Kiswahili

kabidhi wasii

nominoPlural kabidhi wasii

  • 1

    wakala wa uzazi na vifo.

  • 2

    ofisa wa serikali anayesimamia mambo ya mirathi na wasia.

Asili

Kar

Matamshi

kabidhi wasii

/kabiði wasi:/