Ufafanuzi wa kabiliana katika Kiswahili

kabiliana

kitenzi sielekezi

  • 1

    tendo kuangaliana.

  • 2

    shindana

Matamshi

kabiliana

/kabilijana/