Ufafanuzi wa kabobo katika Kiswahili

kabobo

nomino

  • 1

    maji ya bahari yaliyojaa kupita kiasi.

Matamshi

kabobo

/kabɔbɔ/