Ufafanuzi wa kabonidayoksaidi katika Kiswahili

kabonidayoksaidi

nominoPlural kabonidayoksaidi

  • 1

    hewa chafu isiyokuwa na rangi au harufu inayozalishwa wakati unapopumua au wakati vitu vyenye kaboni vinapochomwa.

Asili

Kng

Matamshi

kabonidayoksaidi

/kabOnidajOksaIdi/