Ufafanuzi wa kabureta katika Kiswahili

kabureta

nominoPlural kabureta

  • 1

    kifaa kwenye injini ya k.v. motokaa cha kuchanganya petroli na hewa.

Asili

Kng

Matamshi

kabureta

/kaburɛta/