Ufafanuzi msingi wa kacha katika Kiswahili

: kacha1kacha2kacha3

kacha1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  shikilia jambo bila ya kukubali jingine; acha kufanya jambo fulani.

  ‘Mtoto amekacha kwenda shuleni’

Matamshi

kacha

/kat∫a/

Ufafanuzi msingi wa kacha katika Kiswahili

: kacha1kacha2kacha3

kacha2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  kuwa -gumu.

  ‘Samli hii ikipikiwa chakula hukacha’

Matamshi

kacha

/kat∫a/

Ufafanuzi msingi wa kacha katika Kiswahili

: kacha1kacha2kacha3

kacha3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  kufa ganzi.

Matamshi

kacha

/kat∫a/