Ufafanuzi wa kachumbari katika Kiswahili

kachumbari

nominoPlural kachumbari

  • 1

    mchanganyiko wa vitu k.v. vitunguu, nyanya, malimau na siki pamoja na chumvi na pilipili, agh. hutumiwa pamoja na chakula ili kuleta ladha.

    chachandu

Asili

Khi

Matamshi

kachumbari

/kat∫umbari/