Ufafanuzi msingi wa kada katika Kiswahili

: kada1kada2

kada1

nominoPlural kada

  • 1

    mfuasi wa chama fulani aliyeandaliwa kutetea siasa ya chama chake.

Matamshi

kada

/kada/

Ufafanuzi msingi wa kada katika Kiswahili

: kada1kada2

kada2

nominoPlural kada

  • 1

    kikundi cha watu wa hadhi na madaraka tofauti.

    ‘Rais alizungumza na viongozi wa kada mbalimbali’

Matamshi

kada

/kada/