Ufafanuzi wa kadhalika katika Kiswahili

kadhalika

kiunganishi

  • 1

    vivyo hivyo.

    vilevile, pia, tena, aidha

Matamshi

kadhalika

/kaDalika/