Ufafanuzi wa kadhi katika Kiswahili

kadhi

nominoPlural makadhi

Kidini
  • 1

    Kidini
    hakimu wa Uislamu, mwenye madaraka ya kuamua daawa za kisheria.

    hakimu

Asili

Kar

Matamshi

kadhi

/kaDi/