Ufafanuzi wa kadhongo katika Kiswahili

kadhongo

nominoPlural kadhongo

  • 1

    kitu, agh. fedha, anachotoa mtu ili kupatiwa haki asiyoistahiki.

    hongo, rushwa, chauchau, mlungula, chirimiri, chichiri, kiinikizo, kilemba, mvugulio, chai

Matamshi

kadhongo

/kaDOngO/