Ufafanuzi msingi wa kadiri katika Kiswahili

: kadiri1kadiri2kadiri3kadiri4kadiri5kadiri6

kadiri1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  kuwa na wazo.

  fikiri

Asili

Kar

Matamshi

kadiri

/kadiri/

Ufafanuzi msingi wa kadiri katika Kiswahili

: kadiri1kadiri2kadiri3kadiri4kadiri5kadiri6

kadiri2

nominoPlural kadiri

 • 1

  idadi ya kukisiwa.

 • 2

  kiasi kinachofaa, si nyingi sana wala si haba sana.

  ‘Kula kadiri yako’
  wastani, kifani, kipimo

Asili

Kar

Matamshi

kadiri

/kadiri/

Ufafanuzi msingi wa kadiri katika Kiswahili

: kadiri1kadiri2kadiri3kadiri4kadiri5kadiri6

kadiri3

nominoPlural kadiri

 • 1

  uwezo au nguvu za Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

kadiri

/kadiri/

Ufafanuzi msingi wa kadiri katika Kiswahili

: kadiri1kadiri2kadiri3kadiri4kadiri5kadiri6

kadiri4

nominoPlural kadiri

Asili

Kar

Matamshi

kadiri

/kadiri/

Ufafanuzi msingi wa kadiri katika Kiswahili

: kadiri1kadiri2kadiri3kadiri4kadiri5kadiri6

kadiri5

kivumishi

 • 1

  -a wastani.

  kiwango, kiasi, saizi, fani

Asili

Kar

Matamshi

kadiri

/kadiri/

Ufafanuzi msingi wa kadiri katika Kiswahili

: kadiri1kadiri2kadiri3kadiri4kadiri5kadiri6

kadiri6

kielezi

 • 1

  kwa hali fulani.

Asili

Kar

Matamshi

kadiri

/kadiri/