Ufafanuzi wa kadirifu katika Kiswahili

kadirifu

kivumishi

 • 1

  -enye kufanya jambo kwa uangalifu.

 • 2

  -enye kufikiria; -a wastani.

  -angalifu

 • 3

  -enye kupima na kukisia.

Asili

Kar

Matamshi

kadirifu

/kadirifu/