Ufafanuzi wa kadirio katika Kiswahili

kadirio

nomino

  • 1

    kitu kilichokisiwa; tendo la kukadiria.

Asili

Kar

Matamshi

kadirio

/kadirijÉ”/