Ufafanuzi wa kafeni katika Kiswahili

kafeni

nominoPlural kafeni

  • 1

    dutu au kemikali iliyomo katika kinywaji kama chai na soda inayosisimua na kuchangamsha mwili inaponywewa.

Asili

Kng

Matamshi

kafeni

/kafɛni/