Ufafanuzi msingi wa kafi katika Kiswahili

: kafi1kafi2

kafi1

nominoPlural kafi, Plural makafi

  • 1

    kitambaa kinachokatwa na kushonwa mviringo kama sehemu ya pili ambayo huungiwa juu ya mshadhari wa kofia.

Matamshi

kafi

/kafi/

Ufafanuzi msingi wa kafi katika Kiswahili

: kafi1kafi2

kafi2

nominoPlural kafi, Plural makafi

  • 1

    kipande cha mti kilichochongwa kwa ubapa ili kifanye kazi ya kuendeshea vyombo vidogovidogo vya majini k.v. ngalawa, dau au mtumbwi.

    ‘Piga kafi’
    kasia

Matamshi

kafi

/kafi/