Ufafanuzi wa kafini katika Kiswahili

kafini

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
  • 1

    Kidini
    tayarisha na visha maiti sanda.

Asili

Kar

Matamshi

kafini

/kafini/