Ufafanuzi wa kafiri katika Kiswahili

kafiri

nominoPlural makafiri

Kidini
 • 1

  Kidini
  mtu anayesema au kufanya jambo ambalo ni kinyume na mafundisho ya Mwenyezi Mungu.

 • 2

  Kidini
  mtu anayekanusha neema na maamrisho ya Mwenyezi Mungu au asiyetii sheria zake.

 • 3

  Kidini
  mtu anayefuata dini isiyokuwa Uislamu.

Asili

Kar

Matamshi

kafiri

/kafiri/