Ufafanuzi wa kafua katika Kiswahili

kafua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa makapi ya nafaka kwa kuzipigapiga.

    pura

Matamshi

kafua

/kafuwa/