Ufafanuzi wa kafyu katika Kiswahili

kafyu

nominoPlural kafyu

  • 1

    kanuni ya serikali inayowataka watu kubaki majumbani mwao baina ya muda maalumu, hasa jioni mpaka mapambazuko, la sivyo waadhibiwe.

  • 2

    saa iliyotengwa ya kuanzia amri hiyo.

Asili

Kng

Matamshi

kafyu

/kafju/