Ufafanuzi msingi wa kago katika Kiswahili

: kago1kago2kago3

kago1

nomino

 • 1

  uganga au dawa ya kuzuia madhara.

 • 2

  talasimu au dawa ya kulinda shamba au nyumba.

  hirizi, amali, pagao, talasimu

Matamshi

kago

/kagO/

Ufafanuzi msingi wa kago katika Kiswahili

: kago1kago2kago3

kago2

nomino

 • 1

  shehena au mizigo inayosafirishwa kwa meli au ndege.

Asili

Kng

Matamshi

kago

/kagO/

Ufafanuzi msingi wa kago katika Kiswahili

: kago1kago2kago3

kago3

nomino

 • 1

  sehemu ya kutuma au kupokelea mizigo bandarini au uwanja wa ndege.

Asili

Kng

Matamshi

kago

/kagO/