Ufafanuzi wa kagua katika Kiswahili

kagua

kitenzi elekezi

  • 1

    chunguza kitu au jambo ili kupima ubora na upungufu wake.

    cheki, enenza, chungua, aua