Ufafanuzi msingi wa kaharabu katika Kiswahili

: kaharabu1kaharabu2

kaharabu1

nominoPlural kaharabu

  • 1

    gundi ngumu kama jiwe, ya rangi ya manjano na nyekundunyekundu, inayotumika kama kito.

  • 2

    mapambo k.v. ushanga, yanayotengenezwa kwa gundi ngumu, yenye rangi ya manjano.

Matamshi

kaharabu

/kaharabu/

Ufafanuzi msingi wa kaharabu katika Kiswahili

: kaharabu1kaharabu2

kaharabu2

nominoPlural kaharabu

  • 1

    mchanganyiko wa rangi ya chungwa na manjano au manjano na nyekundu.

Asili

Kaj

Matamshi

kaharabu

/kaharabu/