Ufafanuzi wa kahawia katika Kiswahili

kahawia

kivumishi

  • 1

    rangi ya kahawa au ya maji ya kunde.

    hudhurungi

Asili

Kar

Matamshi

kahawia

/kahawija/