Ufafanuzi wa kahini katika Kiswahili

kahini

nominoPlural makahini

 • 1

  mganga wa ramli.

 • 2

  mchawi

 • 3

  mtu mdanganyifu.

  laghai

Asili

Kar

Matamshi

kahini

/kahini/