Ufafanuzi wa kaidi katika Kiswahili

kaidi

kitenzi sielekezi

  • 1

    kosa kusikiliza ushauri wa mtu; kataa kupokea nasaha.

    katavu
    bisha, babaka

Asili

Kar

Matamshi

kaidi

/kaIdi/