Ufafanuzi wa kaini katika Kiswahili

kaini

kivumishi

  • 1

    -enye kukosa huruma.

    katili

  • 2

    jeuri, korofi

Asili

Kng

Matamshi

kaini

/kaIni/