Ufafanuzi wa Kaizari katika Kiswahili

Kaizari

nominoPlural Kaizari

  • 1

    cheo alichopewa mtawala wa zamani wa dola la Kirumi.

    ‘Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaizari mpe Kaizari’

Asili

Kng

Matamshi

Kaizari

/kaIzari/