Ufafanuzi wa kaji katika Kiswahili

kaji

nomino

  • 1

    samaki aina ya kamba aliye mkubwa kupita kamba wa kawaida.

Matamshi

kaji

/kaʄi/