Ufafanuzi msingi wa kaka katika Kiswahili

: kaka1kaka2kaka3kaka4

kaka1

nominoPlural kaka, Plural makaka

 • 1

  ndugu mkubwa wa kiume.

 • 2

  jina la heshima la kumwitia mwanamume au la utani kumwitia rafiki wa kiume.

Asili

Kaj

Matamshi

kaka

/kaka/

Ufafanuzi msingi wa kaka katika Kiswahili

: kaka1kaka2kaka3kaka4

kaka2

nominoPlural kaka, Plural makaka

 • 1

  ganda tupu la yai, konokono au kibiriti.

Matamshi

kaka

/kaka/

Ufafanuzi msingi wa kaka katika Kiswahili

: kaka1kaka2kaka3kaka4

kaka3

nominoPlural kaka, Plural makaka

 • 1

  ugonjwa unaoshika na kula au kuathiri mikono.

Matamshi

kaka

/kaka/

Ufafanuzi msingi wa kaka katika Kiswahili

: kaka1kaka2kaka3kaka4

kaka4

nominoPlural kaka, Plural makaka

 • 1

  mdudu anayemwingia mtu kidoleni.

Matamshi

kaka

/kaka/