Ufafanuzi wa kakakuona katika Kiswahili

kakakuona

nominoPlural kakakuona

  • 1

    mnyama kama kenge ambaye mwili wake umefunikwa na magamba magumu na hujikunja na kuwa kama mpira anaposhambuliwa.

Matamshi

kakakuona

/kakakwOna/