Ufafanuzi wa kakamka katika Kiswahili

kakamka

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya juhudi kwa kutumia nguvu k.v. mtu anapoinua mzigo mzito sana.

    jikamua

Matamshi

kakamka

/kakamka/