Ufafanuzi wa kakarakakara katika Kiswahili

kakarakakara

nominoPlural kakarakakara

  • 1

    hali ya kufanya kazi au jambo bila ya kuwa na makini.

  • 2

    vurumai baina ya watu na watu au watu na vitu.

Matamshi

kakarakakara

/kakarakakara/