Ufafanuzi msingi wa kaki katika Kiswahili

: kaki1kaki2kaki3

kaki1

nominoPlural makaki, Plural kaki

 • 1

  mkate mwembamba na mgumu wenye matundu matundu.

Ufafanuzi msingi wa kaki katika Kiswahili

: kaki1kaki2kaki3

kaki2

nominoPlural makaki, Plural kaki

 • 1

  kitambaa cha pamba kizito, ambacho agh. hutumiwa kushonea sare ya shule, sare ya sehemu za kazi, n.k..

  ‘Ameshona sare ya kaki’
  ‘Amenunua kitambaa cha kaki’

Ufafanuzi msingi wa kaki katika Kiswahili

: kaki1kaki2kaki3

kaki3

nominoPlural makaki, Plural kaki

 • 1

  rangi ya majani makavu.

Asili

Kaj

Matamshi

kaki

/kaki/