Ufafanuzi msingi wa kalafati katika Kiswahili

: kalafati1kalafati2

kalafati1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  ziba nyufa au matundu katika vyombo vya bahari kwa pamba iliyotiwa ndani ya shahamu k.v. ya papa.

  deheni

Matamshi

kalafati

/kalafati/

Ufafanuzi msingi wa kalafati katika Kiswahili

: kalafati1kalafati2

kalafati2

nominoPlural kalafati

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kitu kinachotumiwa kuzibia nyufa au matundu katika chombo cha bahari.

  ‘Tia kalafati’

Matamshi

kalafati

/kalafati/