Ufafanuzi wa kalasha katika Kiswahili

kalasha

nominoPlural kalasha

  • 1

    pembe ya mnyama ambayo ni ndogo kuliko buri.

Asili

Kar

Matamshi

kalasha

/kalaʃa/