Ufafanuzi wa kalasi katika Kiswahili

kalasi

nomino

  • 1

    baharia wa vyombo vya bahari vilivyotoka Bara Hindi.

    karua

Asili

Khi

Matamshi

kalasi

/kalasi/