Ufafanuzi wa kalavati katika Kiswahili

kalavati, kalvati

nominoPlural makalavati

  • 1

    mtaro wa kupitishia maji au kebo za umeme.

  • 2

    bomba kubwa la sementi linalozikwa ardhini kupitishia maji.

Asili

Kng

Matamshi

kalavati

/kalavati/