Ufafanuzi wa kalenda katika Kiswahili

kalenda

nominoPlural kalenda

  • 1

    orodha ya siku, majuma na miezi ya mwaka inayoonyeshwa kwenye k.v. karatasi, saa, kitambaa au kompyuta.

  • 2

    orodha ya tarehe.

Asili

Kng

Matamshi

kalenda

/kalɛnda/