Ufafanuzi wa kalia katika Kiswahili

kalia

kitenzi elekezi

  • 1

    keti juu ya; kwamisha jambo.

Matamshi

kalia

/kalija/