Ufafanuzi msingi wa kalidi katika Kiswahili

: kalidi1kalidi2

kalidi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  sokota nyuzi kabla ya kuwa ukambaa.

 • 2

  zungushia mwilini nguo, shuka, n.k..

Matamshi

kalidi

/kalidi/

Ufafanuzi msingi wa kalidi katika Kiswahili

: kalidi1kalidi2

kalidi2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  fuata, hasa maadili ya dini.

  ‘Kalidi madhehebu’
  fuata

Asili

Kar

Matamshi

kalidi

/kalidi/